Tayarisha RINDA hilo.Mwenye elfu 4000 aniazime plz nimekunywa bia za watu sina hela ya kulipa...nitamrudishia kesho
Makinikia
Mandela road junction ya tabataWatanzania wape kichwa cha habari tu.. wanashusha stori nzima kama walikuwepo.
Tanzania ndio nchi pekee utayokutana na foleni barabara zote nne kwenye junction na foleni hazitembei.
Kama wewe ni Mtanzania au Mwana Afrika Mashariki comment chochote kuhusu Sifa za Tanzania na Watanzania (a.k.a Wabongo na Bongoland).
Karibuni...
Mkuu unamaanisha anavaa sketi au Linda gani?Tayarisha RINDA hilo.
Hahah unakunywajw bia za wanaume mkuu?In return unawalipa nini?Mkuu unamaanisha anavaa sketi au Linda gani?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app