comment gani zilikufanya ukacheka sana

comment gani zilikufanya ukacheka sana

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
kama inavyofahamika kuwa jf ni stressfree zone...hebu tu tiririka ni comment gani ilikuvunja mbavu
 
Sizikumbuki....lakini nawakumbuka wachangiaji ambao wakichangiaga lazima mbavu zangu nizishike hahaaaaa kuna Rubii daaaaah comments zake huwa zinaniongezea siku za kuishi lakini pia kuna valentine na miss chagga..
Daaaaah hawa watu hapana shikamooo atheeeeeee
 
Jamaa aliandika thread ya kutokuvaa boxer wakati wa kulala jamaa aka comment bhas nalal na kanzu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom