Sizikumbuki....lakini nawakumbuka wachangiaji ambao wakichangiaga lazima mbavu zangu nizishike hahaaaaa kuna Rubii daaaaah comments zake huwa zinaniongezea siku za kuishi lakini pia kuna valentine na miss chagga..
Daaaaah hawa watu hapana shikamooo atheeeeeee