• Jitahidi kufuata alama za uandishi. Kwa mfano, badala ya kuandika "we cant" andika "we can't"
• Jifunze matumizi ya articles (the, an & a). Kwa mfano, hakukuwa na haja ya kuandika "we ar not the bankers'" andika "we are not bankers"
• Hatupaswi kuongeza _s, _es, wala _ies kwenye vitenzi vyote vinavyohusisha future tense. Kwa mfano umeandika "the complains will remains" badala ya "the complaints will remain"
• Kama unaweza, hakuna haja ya kutumia 'x' badala ya 's' au 'c' badala ya 'th'. Inapunguza professionalism.
Conclusively; una Kingereza kizuri. Ukiendelea kufanya mazoezi na kuwa wazi kurekebishwa soon utajua Kingereza kizuri na kilichonyooka. Keep it up and never give up.
Wishing you the best.
#MagufulismForLife