Uzi maalum kwa ajili ya wana JF wacomment mkoa ambao wamezaliwa.
Unaweza kuwa umezaliwa mkoa mmoja na Member wengi humu sasa huu ndo mda muafaka.
Naanza MImi
Runzewe ndio mkoa, Chato ni makao makuu ya mkoaMkuu chato ni mkoa kwani
Lindi sokoine,rahaleo,wailesi,mpilipili,kariakoo,mtanda,likotwa...au wilayani kilwa,liwale...πlindi
Unaniachaga kinywa wazi sana daah! ππMbeya
Morogoro
Mwanza
Iringa
Dodoma
Hiyo mikoa hapo juu baada ya reincarnation nlienda kuzaliwa huko
Kwa nn mkuuUnaniachaga kinywa wazi sana daah! [emoji23][emoji23]
Mambo yako ya wafu kama ushawahi kwenda vile ππKwa nn mkuu
Daah samahan sana chief