Singidani1.Baadhi ya Mitaa...
Majengo, misuna, Utemini, Karakana, Mwenge, Kibaoni, sabasaba.
1.Shule kongwe.
Chief senge, Dk Salmin Amour.
3.Mabwawa..
Kindai, ..... hili lingine limebeba jina la mkoa.
Tabu kwelikweliHivi shule za msingi bado kuna atlas za kama enzi zetu wahenga kweli!
Maana vijana wa siku hizi jiografia haimo kabisa kichwani.
Hapa umemuongezea ujinga tu mwenzio.
You believe in reincarnation?Mbeya
Morogoro
Mwanza
Iringa
Dodoma
Hiyo mikoa hapo juu baada ya reincarnation nlienda kuzaliwa huko
Nimezaliwa hapahapa kijijini kwetu mkoa mpyaNdo ulikozaliwa mkuu
enhee kama jibu ni ndiyoYou believe in reincarnation?
Mbna unajiwahi hivyoo 😂enhee kama jibu ni ndiyo
Okay tuseme ndiyoMbna unajiwahi hivyoo [emoji23]
Lindi sokoine,rahaleo,wailesi,mpilipili,kariakoo,mtanda,likotwa...au wilayani kilwa,liwale...[emoji2]
Njoo wewe magroveNjoo hapa mpilipili shule ya msingi tubonge nearby blueleaf
Karibu sana Tarime-MaraWale wa Green city, mpooo!
Okay tuseme ndiyo
Naam so umepoteza character yko baada ya rebirth