financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ahsante, naskia huko ni mwendo wa mapanga tuu, mtu akizingua anafyekelewa mbalii,karibu Green city piaKaribu sana Tarime-Mara
Mi nimezaliwa Kilwa,nmekulia Rufiji.Lindi sokoine,rahaleo,wailesi,mpilipili,kariakoo,mtanda,likotwa...au wilayani kilwa,liwale...[emoji2]
1.Baadhi ya Mitaa...
Majengo, misuna, Utemini, Karakana, Mwenge, Kibaoni, sabasaba.
1.Shule kongwe.
Chief senge, Dk Salmin Amour.
3.Mabwawa..
Kindai, ..... hili lingine limebeba jina la mkoa.
SingaporeWapi hapa
Moshi moko sio?1.Baadhi ya Mitaa...
Majengo, misuna, Utemini, Karakana, Mwenge, Kibaoni, sabasaba.
1.Shule kongwe.
Chief senge, Dk Salmin Amour.
3.Mabwawa..
Kindai, ..... hili lingine limebeba jina la mkoa.
SingidaMoshi moko sio?
Nimesoma mughanga1.Baadhi ya Mitaa...
Majengo, misuna, Utemini, Karakana, Mwenge, Kibaoni, sabasaba.
1.Shule kongwe.
Chief senge, Dk Salmin Amour.
3.Mabwawa..
Kindai, ..... hili lingine limebeba jina la mkoa.
Mbna hapo kama ni TRA singida njia ya kwenda mwenge to arusha Rd[emoji848]
Imeisha hiyooHpn sijapoteza
Bado nna tabia zile zile za charlie chaplin
Yeah kwetu singidaMbna hapo kama ni TRA singida njia ya kwenda mwenge to arusha Rd[emoji848]
Singida hapa......crdb hiyo n tra sijui kwenye ghorofa hilo km sikosei.mji unamajabali huu