Comment on this Photo Pse!!

Unajua watz wengi hawajui kuconnect kura yao na maisha yao.
Na wataendelea kumalizwa kwa umaskini,magonjwa
 
Na huyu mkazi wa nyumba hii anaamini kauli ya mkwere ya kumpatia kila mtazania maisha bora. Inawezekana hapa ni Lugoba maeneo ya chalinze!
 
Ndiyo TZ yetu unaweza kukalia kisu huku unafurahi huo ndiyo mfano wake
 
Haya kweli ndiyo maisha bora kwa kila mchakachuliwa.
 
Umasikini=CCM..Simple Mlinganyo sahihi..you remember those std 4 maths?
 
Ahadi ilizotoa CCM imezitekeleza na ushahidi ndio huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…