Comment tucheke!

Nyani hata awe mjanja kiasi gani hawezi kurukia tawi la bank
 
Hata uwe mtaalamu wa kuvaa vimini kiasi gani huwezi kuvaa minkabang
 
hata uwe mtaalamu kiasi gani huwezi kugundua tochi ya mwanga mweusi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…