ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Demiss we Ni muhudumu wa bar nitajie hiyo bar niwe nakuja kunywa bia napenda hizi safari.siku hizi tunaziita safasafa kubwa
Nokia83 we Ni mchimba madini muhimu.uko sekta ya madini.mtalaaam wa miamba ah?Tindo
Nyundo
Baruti
Mkuu unajiuza pande zipi?mwananyamala?,sudani?sinza?kkoo?tandika?Kitanda,comdom na feni.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kitanda,comdom na feni.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shughuli zake buguruni huyu mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Shughuli zake buguruni huyu mkuu?
GRENADE, SNIPER na Chupa ya majiOi tuchangamkeni watanzania jumapili Kama hizi Ni siku za kuchangamka,TUnataka tujuane kwa kazi taja: vifaa,tools, devices, items tatu(3) ambazo una deals nazo Sana ukiwa kazini kwako.members wa jf tukutabirie kazi utayokuwa unafanya
Tuanze na huyu dada ninaemkubali Sana humu anaitwa Demiss niambie vifaa vyako vitatu vinavyokuzunguka wherever you work?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau vile vya bata batani, Kibauma... Kischana... Kichamdeko... Acha kabisa...
Sniper = mdunguaji
Spy glasses, locater and tracker [emoji123][emoji847]