Kuna jamas kaanzisha mada FB inasema "Mke wangu ana maji mengi nifanyaje" mwingine akakomenti Anzisha kilimo cha umwagiliaji
🤣🤣Kuna jamas kaanzisha mada FB inasema "Mke wangu ana maji mengi nifanyaje" mwingine akakomenti Anzisha kilimo cha umwagiliaji
wakuu tunaruhusiwa kucheka kwa sauti😅😅😅😅
.I see wanasema Wabongo tunaongoza kwa comment za kuchekesha zaidi mitandaoni...Sijui ni kweli?
Embu tupia comment ya kuchekesha ambayo umewahi kukutana nayo kwenye mitandao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe cheka mkuu maisha yenyewe haya!wakuu tunaruhusiwa kucheka kwa sauti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]