[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wabongo wana majibu ya kishwaini huwez amini.๐คฃ๐คฃ๐คฃKuna jamas kaanzisha mada FB inasema "Mke wangu ana maji mengi nifanyaje" mwingine akakomenti Anzisha kilimo cha umwagiliaji
hahahahajahah
Muddy kapinda๐คฃ
This is Savage
hahahahahah nyoko
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ aah kmmmk
Dadekii๐ ๐ ๐
Huyu Mpwa wa kuitwa THUNDER katisha aseee...
Kimwali ur missed๐Dadekii๐ ๐ ๐
Hahahahaha
๐๐๐๐๐Kimwali ur missed๐
Aisee huu uzi nmecheka mpaka nahisi kutapika๐คฃ! Haya mambo kipindi nasoma walikuwa wanayafanya back benchaz...Walimu walikuwa wanamaindi kichizi.๐๐๐๐๐
Hahaha ila usidhani ni uongo haya yanafanyika kabisa.
๐๐๐๐Kuna watu wana majibu mabaya nimecheka sanaAisee huu uzi nmecheka mpaka nahisi kutapika๐คฃ! Haya mambo kipindi nasoma walikuwa wanayafanya back benchaz...Walimu walikuwa wanamaindi kichizi.
Tanzania kuna vimbwanga sana