Comment za wadau baada ya JADA PINKETT SMITH kupost picha

Ile movie imejaa sex scenes zake kibao, labda hata Willy alimkubali baada ya kuona namna Mtoto anavyojituma kwenye ile movie.

Naam na ile movie ndo iliyomtoa Jada!! Na yule BOKEEM mule alionyesha ukichaa kweli kwelil
 
Naam na ile movie ndo iliyomtoa Jada!! Na yule BOKEEM mule alionyesha ukichaa kweli kwelil
Jada hata kwenye movie ya SET IT OFF scene ya sex walimpa yeye, kalikuwa hakaogopi kuonyesha vikalio.

Hata niliposikia Willy ndio kafa kaoza nikashangaa sana, nadhani kalikuwa kanaendana zaidi na Pac kuliko Willy.
 
sasa cha ajabu nini hapo? kama Gate,Obama,Clinton,Bush,Abramovic,Brazil,Kanye,Jigga,50,Rossey,Fat,Shaggy,Beyonce,na wahuni kibao wa Us wameshawahi kutua bongo who is Jadda?
Manzi wa tupac, mke wa will smith,mama wa willow na jaden smith movie star usimchukulie poa
 
Jada hata kwenye movie ya SET IT OFF scene ya sex walimpa yeye, kalikuwa hakaogopi kuonyesha vikalio.

Hata niliposikia Willy ndio kafa kaoza nikashangaa sana, nadhani kalikuwa kanaendana zaidi na Pac kuliko Willy.
Sio x zote zinakuwa za ukweli zingine anaefanya ni mtu mwengine lkn zinatengenezwa kuonekana km yeye. Ni km wale stuntman.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…