Comment zako zinaweza kusababisha haya.....

You are absolutely right mkuu Gagurito
 
Mimi siamini ktk umuhimu wa kuficha ID. Ndo maana niko wazi mpaka contacts zangu ziko wazi. Niko tayari kuyasimamia ninayosema na niko tayari kuwajibika kwa kila ninachoandika jf.
 
Mimi siamini ktk umuhimu wa kuficha ID. Ndo maana niko wazi mpaka contacts zangu ziko wazi. Niko tayari kuyasimamia ninayosema na niko tayari kuwajibika kwa kila ninachoandika jf.

Mkuu nafikiri hapo kwenye uwajibikaji ndio sababu hasa ya ufichaji wa ID.Wapo wachache wa aina yako hapa JF
 
tunafanana. Lol.
 
Tabia ni ngumu kuficha ingawa kuna mwingine anaweza kupenda aonekane ana tabia flani ambayo sio yake.
 
The boss,habari yako bana
marekani wazima,asante kunitoa ushamba dude
 
Ni kweli,but all an all anaeficha ID ni yule ambae hajiamini au kuna kitu ambacho sio chema anaficha,kama unajiamini na uko clean unasababu gani ya kujificha?
 
Ni kweli,but all an all anaeficha ID ni yule ambae hajiamini au kuna kitu ambacho sio chema anaficha,kama unajiamini na uko clean unasababu gani ya kujificha?
Mmmhhhhbaba watoto yumo humuStaki mangumi kwa kumsema..Boss wangu yuko hapaBado napenda kazi yangu..Napenda zaidi wana JF kujibu posterZangu ipasavyo sio sababu wanani jua.Baba watoto CCM mimi CDM lakiniAnadhani mimi CCM ..Wengine hapa ndio viongozi wakubwaWa nchi (kutunza kheshima zao)Hayo na mengine mengi.... 🙂
 
Me nishalia humu nikajuta kuleta sredi, ila kuna wapo walinipa moyo na kunisaidia kusolve. Siwapendi japo siwajui.
 
Me nishalia humu nikajuta kuleta sredi, ila kuna wapo walinipa moyo na kunisaidia kusolve. Siwapendi japo siwajui.

Dah hivi kumbe inawezekana kumchukia mtu usiyemjua?ha ha haa by the way utashusha mzigo lini tukuletee,dippers na pacifire kwa huyo mwana JF?
 
Kwanini umuogope mumeo kama uko kwa wema humu?Kama atachukia wewe kuwa CDM atakuwa na matatizo ya udikteta,ni haki yako kuchagua chama ukitakacho,bosi wako hawezi kukasirika kama wewe ni Great Thinker,bado sijaona sababu hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…