WellKama bado hujanielewa vizuri saa Nyingine naleta matatizo yandani humu..Ili niweze pata hoja za wengine..Na kuna mambo ambayo sio sahihi kaziniAmbayo boss anayafanya lakini mimi naleta Hapa..Nadhani umenielewa kidogo.Kwanini umuogope mumeo kama uko kwa wema humu?Kama atachukia wewe kuwa CDM atakuwa na matatizo ya udikteta,ni haki yako kuchagua chama ukitakacho,bosi wako hawezi kukasirika kama wewe ni Great Thinker,bado sijaona sababu hapo!
looh! mjadala umekuwa mujadala!
nawasalimia wakuu, tusisahau kuwa bado tupo gizani na ngeleja anazidi kutupa matumaini kuwa giza litakuwa historia. nilikuwa nawakumbusha tu, hapa sio mahala pake. be blessed.
WellKama bado hujanielewa vizuri saa Nyingine naleta matatizo yandani humu..Ili niweze pata hoja za wengine..Na kuna mambo ambayo sio sahihi kaziniAmbayo boss anayafanya lakini mimi naleta Hapa..Nadhani umenielewa kidogo.