P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,034 Reaction score 15,246 May 21, 2020 #41 Mihayo DP said: Majibu mepesi kwa maswali magumu... Yes this is politics lakini Lijualikali is someone else Click to expand... Ni ushabiki tu unakusukuma kusema haya lkn huwezi kusema kafanya nini zaidi kulelewa na kukuzwa na CDM
Mihayo DP said: Majibu mepesi kwa maswali magumu... Yes this is politics lakini Lijualikali is someone else Click to expand... Ni ushabiki tu unakusukuma kusema haya lkn huwezi kusema kafanya nini zaidi kulelewa na kukuzwa na CDM
K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,292 Reaction score 3,428 May 21, 2020 #42 Mtoto wa nzi said: Uchaguzi wa Kukimbia kupokea fomu Kama wa serikali za mitaaa, kupita bila kupingwa? Utakuwa na kamasi kwenye kichwa yako badala ya ubongo, Click to expand... Time will tell.tutakimbiana humu ndani.Cdm needs a wide range of reforms. Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa nzi said: Uchaguzi wa Kukimbia kupokea fomu Kama wa serikali za mitaaa, kupita bila kupingwa? Utakuwa na kamasi kwenye kichwa yako badala ya ubongo, Click to expand... Time will tell.tutakimbiana humu ndani.Cdm needs a wide range of reforms. Sent using Jamii Forums mobile app
Mihayo DP JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 562 Reaction score 1,019 May 21, 2020 #43 pilipili kichaa said: Ni ushabiki tu unakusukuma kusema haya lkn huwezi kusema kafanya nini zaidi kulelewa na kukuzwa na CDM Click to expand... Njoo na hoja na majibu ya alichokihoji kijana...self isolation is becoming an obligatory even when you are not exposed?? na wakitoka karantini wanaenda wapi??usipanic brouh Sent using Jamii Forums mobile app
pilipili kichaa said: Ni ushabiki tu unakusukuma kusema haya lkn huwezi kusema kafanya nini zaidi kulelewa na kukuzwa na CDM Click to expand... Njoo na hoja na majibu ya alichokihoji kijana...self isolation is becoming an obligatory even when you are not exposed?? na wakitoka karantini wanaenda wapi??usipanic brouh Sent using Jamii Forums mobile app