Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Feb 10, 2019 #1 Kuna hii coment nimekutana nayo wakati napekua nyuzi za watu. Pia naitunuku kuwa koment bora wakati mwaka 2019 unaendelea Huyu bright platnumz kauliza swali sikongefdc kamjibu Uzi wenyewe ni huu hapa Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota? - JamiiForums Kama na ww una comment bora iweke hapa
Kuna hii coment nimekutana nayo wakati napekua nyuzi za watu. Pia naitunuku kuwa koment bora wakati mwaka 2019 unaendelea Huyu bright platnumz kauliza swali sikongefdc kamjibu Uzi wenyewe ni huu hapa Nifanye nini ndevu zisiote kabisa au zichukue muda mrefu kuota? - JamiiForums Kama na ww una comment bora iweke hapa
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Feb 11, 2019 #2 Oya mbona Kama tunachoshana asee!?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Feb 11, 2019 #3 Pale unapokula udaga wa chips na mlenda