hahahahhh, lakini kweli, the way the light falls on her right knee, ukiangalia vizuri, utadhani kweli ni nanihiii ndefuu imechungulia chini ya bukta yake LOL
Ahaaa ahaaa haaaaa Wozoza umeiibulia wapi hii dah nimecheka balaa ukiiangalia picha ahaa ahaaa aiseee mtu unaweza ingizwa kingi hivi hivi sijui ni goti ndio liko hivyo lakini hell no
inahitaji macho yako yanaona fresh kutambuwa hiyo pic ikoje laa siivyo utaona maajabu ya timez fm yanaendelea. Lkn imenichukua dakika kuielewa. Si mchezo.