No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Uzi unaweza ukamkuta mtu katika mazingira yoyote akajikuta ametoa comments za kufurahisha,kuelimisha,kukatisha tamaa n.k. Kutokana na kwamba comments ndio msingi wa J.F namaanisha hakuna UZI bila Watu kucomment! Leo Tuanze kufunga mwaka kwa kutoa comments ambazo unahisi zimewahi "Made your Day" au kukatisha tamaa n.k>Binafsi kuna cmment mtu alitoa jana hapa,akipinga wanaume kujihalalishia michepuko...Eti akasema ROLL MODEL WETU NABII SULEIMAN"Kila nikiikumbuka hii comments nafurahi tu!