Comments za wanaJF zilizowahi kunichekesha hapa jamvini

Comments za wanaJF zilizowahi kunichekesha hapa jamvini

Freewine

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
257
Reaction score
211
Kwa miaka mitatu ambayo nimekuwa humu jamvini hakika nimegundua Kuna baadhi ya watu wanna IQ kubwa Sana ila Kuna wengine dooh! Lazima uwatafakari Mara mbili mbili ila yote kwa yote Ni kuwezesha eneo hili kukamilika kila idara.
Sasa nakupa comments tatu nilizozisoma kwenye baadhi ya Nyuzi na Mimi nikabaki nakicheko mirua kabisa

1. Watu walikuwa wanaongelea madhala ya kutokuwa na Pesa na umaskini kwa ujumla, jamaa mmoja aka comment " yaani usipo kuwa na hela sio to kwamba unakosa heshima kwa jamii Bali hata wanyama Kama Bata, kuku zitafanya mapenzi mbele yako😂🤣" nilicheka Sana

2. Wengine wakawa wanajadili vibwanga vya serikali, jamaa mmoja akakoment " tutaona mengi kwenye nchi ya VIWONDER 😂🤣" Nilicheka Sana

Unaweza na wewe kuweka comments fupi ya maadili na wewe uliyokuchekesha tufurahi wote
 
Nimecheka mpaka mbavu zimechomoka! Nimepewa comments tatu lakini ubaoni zinaonekana mbili moja imepigwa na mletaji, ukiishi bongo wewe tayari fomu siksi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi iliyonichekesha ni ile thread ya paka eti paka ukimfuga anawadharau hata wanyama wengine hasa mbwa anajiona yeye ni mwanafamilia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna comment kwenye ule Uzi pendwa Sana [kufanya mapenzi katika mazingira hatari] jamaa mmoja alikoment

Kuna siku kaingiza demu chumbani afu wazee wakawahi kurudi ikabidi amfungie demu chumbani kwake afu akamfata rafiki yake nje baadae wakachukua kikapu kikupwa wakamuweka Yule demu ndani ya kikapu wakapita nacho sebuleni wazee wakawa wanawacheki tu Ila hakuulizwa kitu, kesho yake baba ake akamwambia mwanangu unaakili Sana nilielewa ulichofanya Jana[emoji1787][emoji1787]
 
FB_IMG_1564537891190.jpeg
 
Mkapitie ule uzi wa WALE TULIOKOSEA KUTUMA SMS ZIKAENDA SEHEMU NYINGINE[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna jamaa alimuita babake NDEZI..af babake akamjibu NANI NDEZI???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi wa comment chochote upate like kuna mtu aliandika......
Alipanda Bus akakutana na rafiki yake waliosoma wote ambaye ni dereva wa hilo Bus, akaenda akamziba macho akamuuliza otea mimi ni nani? Na bus lilikuwa liko mwendokasi anakwambia kilichotokea hapo wewe acha tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
1 Jamaa alisema eti ukikaa single muda mrefu unakua mpweke mpk ilifika muda wa kulala unajisemesha mwenyewe eti Goodnight usisahau kuweka neti haha.

2.Mwingine kwny thread ya namna huko mashuleni ilipokua ukiongea kiswahili unavalishwa kibao cha swahili speaker,jamaa aliona hawezi kuongea kiingereza so akaona akae kimya tu ila mara akabanwa kupiga chafya ikabdi apige kwa kikabila chao EJOOOOOOOO mara paaap akavishwa kibao eti amepiga chafya kwa kiswahili.
 
Mwingine akasema wakiwa darasani waliambiwa wahesabu number kwa kiingereza,ilipofika kwny dawati la washkaji walikua wamekaa watatu ambapo number zao zilikua 11,12,13 sasa jamaa wakaa kimyaaaa.

ikabidi zoezi lianze upya ilipofikia kwao tena jamaa wakaa kimya,ila wakaona haina noma washkaji wote watatu wakaenda kwny dawati la kwanza ,wakahesabu fasta one,two,three hahaha kumbe shida yao ilikua ni namna ya kutamka eleven,twelve,thirteen ilikua changamoto.
 
Mkapitie ule uzi wa WALE TULIOKOSEA KUTUMA SMS ZIKAENDA SEHEMU NYINGINE[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna jamaa alimuita babake NDEZI..af babake akamjibu NANI NDEZI???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile thread ina pumba hatari

Back
Top Bottom