sic2019
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 129
- 81
Habari wana JF wote kwa ujumla. Kama title inavyojieleza.
Nimeona Leo nianzishe huu Uzi ili wenye hizi tabia waache kwa sababu naamini muda mwengine huwa inawakera baadhi ya waleta mada.
mtu amejipinda kuandika siri zake humu ili apate msaada watu wengine wanaleta mzaha kwa comments zisizo saidia
Au mtu kaandika Uzi mrefu katiririka vitu vya msingi halafu anajikuta anakutana na comments kama zifuatazo :-
1. Jifunze kuandika kwanza
2. Umeandika kama unakimbizwa
3. Sawa
4. Nimewahi kiti cha mbele
5. Au mnasemaje mods
6. Jua kutofautisha kati ya R na L
7. Tuwasubiri wajuvi waje
8. Shule bora zifunguliwe
9. Una miaka mingapi
10. JF kumeingiliwa
11. Nipe namba yake (mtu anaomba ushauri kuhusu mkewe)
Na nyengine nyingi
Mleta mada akianza tu ooh mdogo wangu au rafiki yangu anahitaji msaada ataambulia hii comment

Eti........bila kapicha, habari hii ni umbea tu!
Mleta mada akianza tu ooh mdogo wangu au rafiki yangu anahitaji msaada ataambulia hii comment
Si useme ni wewe tu kwani nani anakujua
Wacha nitulie hapa
Uzi tayari