Commerce and book keeping teacher

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
"kwa chochote kinachokusumbua kwenye masomo hayo mawili lazima utakielewa na kupata mabadiliko,hata kama huwezi kitu lakni unapenda kusoma,basi nipo kwa ajili ya shule na wanafunzi ."MIMI ni kijana nliyemaliza kidato cha sita comb Economics,commerce na accounts na sasa nasoma Bachelor of accounting and finance,ninauelewa mkubwa kwa masomo hayo na nimefanya vizuri kwenye mtihan wa kidato cha nne ,sita kwa hayo masomo,hivyo ninaweza kufundisha o level darasa lolote,kwa mwenye shule au centre na upungufu wa waalimu na ananihitaji tuwasiliane 0754093064 ,npo mbezi beach,pia kwa wanaokaa mbezi beach kama watahitaji private tutor at home nafanya."elimu siyo cheti,elimu ni ujuzi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…