kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
Binafsi sijaridhishwa na ufaulu wa wanafunzi katika masomo ya book keeping na commerce-form four mwaka huu. Siwezi kukubali kushuhudia professional ya uhasibu ikiendelea kudidimia at an early stage.
Nimejitolea kuongeza nguvu katika masomo hayo kwa kuungana na walimu wengine nchini tuweze kutengeneza bright accountants and auditors mapema kabisa. Nipo Dar, shule zenye uhitaji wa mwalimu katika kada hiyo, NAOMBA TUTAFUTANE (NI PM )
NB: Nina backgroung nzuri and excellent professional credentials. Kuwa nami, ni kuwa na matokeo mazuri next time au kuongeza kiwango cha ufaulu kwenye shule yako.