Taja sasa hicho kitu cha maanaKwanza Pole saana, Hiyo biashara ya uwakala ni unyonyaji, Pengine ungewekeza hiyo 6M ungepata faida nusu yake ndani ya mwezi, kwa ushauri achana na hiyo biashara fanya kitu cha maana
Daaah!!!!1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
Ila yeye ameomba ushauri wa namna gani ataongeza commission kupitia hiyo biashara. Ila sasa wewe mheshimiwa umeenda hatua moja mbele.Kwanza Pole saana, Hiyo biashara ya uwakala ni unyonyaji, Pengine ungewekeza hiyo 6M ungepata faida nusu yake ndani ya mwezi, kwa ushauri achana na hiyo biashara fanya kitu cha maana
hofu pia ni kufanya biashara ambayo haitawapa upenyo watu kujua mzunguko wangu ili nisijekupigwa tukio.1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
kwenye kuchanganya kuna hofu ya watu kusoma mzunguko wa pesa na kupanga namna ya kukuibia maana watatumia fursa ya kuja kama wateja wa kawaidaIla yeye ameomba ushauri wa namna gani ataongeza commission kupitia hiyo biashara. Ila sasa wewe mheshimiwa umeenda hatua moja mbele.
Anyway, kwa mtazamo wangu naamini hii biashara inaleta ahueni iwapo utaichanganya na biashara nyingine! Mfano duka la bidhaa mbalimbali la jumla na reja reja, stationery, duka la vifaa vya umeme, duka la simu/vifaa vya simu, nk.
Mheshimiwa nawezaje kupata Uwakala Mkuu?Hyo ni net profit tuambie gross profit unapata sh ngapi?....ila sio mbaya kwa huo mtaji wako kumbuka malipo yanatokana na mzunguko wa cash in na out katka laini zako.
Kuongeza commission.
1. Ongeza laini/machine za uwakala /uwakala mkuu.
2. Ongeza mtaji wa biashara yako angalau 10ml
3.punguza matumizi ya sio lazima.
Hii 200,k mimi napata kwenye lain yangu moja.
Wa airtel ni simple sana...na vigezo vyao virahisi tofauti na tigo na voda.Mheshimiwa nawezaje kupata Uwakala Mkuu?
Kwa kweli hii biashara ni shida.Mwezi huu nimeambulia 120k kwa laini 4.Alafu shoti ni za kufikia tu.nahisi cimmision wamepunguza hawaMkuu kwa sasa uwakala ni unyonyaji achana na hiyo biashara. Bora uanze kuuza accessoires. Mtaji wa laki tano utazaa hiyofaida ya laki 2
Upo wewe au mfanyakazi??Kwa kweli hii biashara ni shida.Mwezi huu nimeambulia 120k kwa laini 4.Alafu shoti ni za kufikia tu.nahisi cimmision wamepunguza hawa