Siku ya leo hapa Dar es salaam kuna vitu vya ajabu sana vinafanyika kuna watu wa TRA/WAKALA wao wanakamata kila mzigo unapoita barabarani na kudai Risit ya mauzo!!! hadi imekuwa kero.....
Mzigo wa dukani nendani mkasimame dukani mone mwenye duka anatoa risiti?
Biashara zingine mauzo ni kwa PURCHASE ORDER??? invoicing is done after delivery and acceptance...waelewesheni watu wenu.......

hizo kazi wanafanya wakala wao MAJEMBE ACTION MARTSiku ya leo hapa Dar es salaam kuna vitu vya ajabu sana vinafanyika kuna watu wa TRA/WAKALA wao wanakamata kila mzigo unapoita barabarani na kudai Risit ya mauzo!!! hadi imekuwa kero.....
Mzigo wa dukani nendani mkasimame dukani mone mwenye duka anatoa risiti?
Biashara zingine mauzo ni kwa PURCHASE ORDER??? invoicing is done after delivery and acceptance...waelewesheni watu wenu.......
Nadhani wanakusanya kodi kwa walala hoi kwa sababu misaada hakuna tena