Commitment!

Nini maana ya commitment kwa kiswahili?

Inategemeana na muktadha unaotaka kulitumia, angalia hizi maana kutoka kwenye kamusi:
~ ment n 1 sharti; ahadi honour your ~ments heshimu ahadi zako.2 wajibu. 3 moyo, msimamo. political ~ment n msimamo wa kisiasa. 4 tendo la kupeleka (kifungoni n.k.).
 
Nini maana ya commitment kwa kiswahili?

Ndiyo, Kamusi Tuki inatafsiri ‘commitment' kama ‘ahadi' au ‘sharti'. Lakini ‘wajibu' ni tafsiri afadhali zaidi. Sawasawa na Kamusi Tuki ‘Honour your commitments' inatafsiriwa ‘Heshimu ahadi zako.' Nafikiri inatafsiriwa afadhali ‘Tekeleze wajibu wako.' Neno hili ni ngumu kutafsiri kwa Kiswahili.

Ina maana:

kuwa na wajibu
kujitoa (kujifunga) kwa uaminifu kwa kitu fulani
kujitoa kwa uaminifu kwa wajibu wako
(Samahani kama Kiswahili changu siyo nzuri sana!)

Kwa mfano:
He has a lot of family commitments.
His commitment to this project is an example to us all.
I don't see your commitment to our relationship! Do you really love me?
(Lakini Kiingereza changu ni safi kabisa!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…