We kigogo umetokea kigogo nini?basi tupe maswali yako wewe unayoyaona ndio magumu,jamaa katoa maswali ambayo nenda interview yoyote lazima utapata baadhi ya maswali. Kutoka hapo,nampa thanks.hivi we unajua maswali magumu wewe? au ndo interview zenu za kufanyiwa na madiwani....sasa kwenye ma interview yaliyoenda adabu hapo hamna swali
Yamekaa vizuri ingawa pia tusisahau mtu anaweza kuwa mzuri kwenye interview lakini utendaji ukawa ni issue ya ziada.
Mkuu, wewe binafsi neno "interview" maana yake ni nini?
- a formal meeting & discussion with someone, eg a person applying for a job, or a person with information to broadcast on radio or Television.
Mkuu naona kama hiyo Q & A ya Interview ina fit sana kwa mtu anaye tafuta kazi si ktk red hapo juu.