Common sense ni uwezo wa kutambua, kuchanganua na kufanyia kazi masuala anuwai katika maisha ya kila siku. Kwahiyo tunaweza kusema common sense mtu unazaliwa nayo (kama ukizaliwa na akili tumamu). Lakini hata kama hauna common sense unaweza kujifunza kwa wengine.
Kuhusu huyo kiongozi na sababu alizotoa mimi sijui.