Communication solution

Communication solution

kaygeezo

Senior Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
193
Reaction score
10
  • PBX INSTALLATION & REPAIR
  • TELECOMMUNICATION DEVICES INSTALLATION
  • SECURITY SYSTEMS INSTALLATION
  • DATABASE MANAGEMENT
  • COMPUTER SALES & MAINTENANCE

0754 964 911
ubungo njia panda ya chuo.
Karibu sana
 
Naona kampuni ni ya mfukoni hiyo anakwepa ushuru TRA...
 
Njia nzuri ni kutengeneza tovuti na kuitangaza mkuu halafu kingine jitahidi sana kuandika makala na uchambuzi wa masuala haya chini unaweza mawasiliano yako hiyo ni njia nyingine pia ya kutengeneza wateja na kupata washirika zaidi
 
  • pbx installation & repair
  • telecommunication devices installation
  • security systems installation
  • database management
  • computer sales & maintenance

0754 964 911
ubungo njia panda ya chuo.
Karibu sana

nimepita hapo njia ya panda chuo ubungo sioni office yoyote au una maanisha ile internet cafe pale oilcom wale mafundi simu ?
 
nimepita hapo njia ya panda chuo ubungo sioni office yoyote au una maanisha ile internet cafe pale oilcom wale mafundi simu ?

hapana , office itafunguliwa rasmi karibu na njia pandaya chuo. bado tunarekebisha mambo ya TIN na other legal procedures za kuanzisha office. piajina litakuja very soon ,tunasubiri results kutoka Brela.
asante
 
Back
Top Bottom