- Mkulu Max, with all due respect, how can you describe Tanzania na Communism, ninaona wengi mkisema kwamba tuliiga kutoka China lakini the history iko very clear kwamba Communism ya China origin yake ilikuwa ni only a copy ya the original Cummunism ya Karl Max, ambaye kwa kushirkiana na Fred Engles in the 1800s, walianzisha a modern communism movemment wakiwa na nia ya ku-promote the value of the common man, na hasa to end the misery ya watu under the rule of aristocracies na tyrans. Ideology ambayo baadaye ilikuja kuwa advanced na Bolsheviks under utawala wa Lenin, lakini matokeo yake yakapimwa wakati wa utawala wa Stalin, as a failed one kwa sababu iliishia ku-create a ruling class ambayo nia na madhumuni yake ilikuwa ni kui-eliminate in the first place!
- Sasa kwa mantiki hii ina could I be wrong nikisema kwamba Tanzania tulikuwa tuna copy ideology ambayo ilikuwa doomed tayari, kwa sababu sio siri kwamba Capitalism ilikuwepo kabla ya Communism, ambayo ilianzia in the 1700s wakati Adam Smith kwa mara ya kwanza alipoweza kui-define in terms of intellectualism, wakati Communism ilianza in the 1800s. Na sidhani kama nitakuwa mbali na ukweli nikisema kwamba Karl Max na Engles, walikuwa wanajaribu ku-invet ideology ambayo ingaweza kuwaondoa tyrans na aristocracies ambao walikuwa ni the results ya Capitalism ambayo Smith alii-define in the 1700s as the market forces of supply and demand, competition, profit motive in guidng and regulating the economy.
- Sasa hivi ni kweli tuneelewa exatcly what Mwalimu copied form China's Communism, maana sio siri kwamba chairman Mao was un-educated man, ingawa alikuwa a very intellingent individual, lakini aliweza kufanikiwa one thing nacho ni control of anarchy, ingawa alishindwa many times aliweza kufanikiwa kuanzisha equality among his people, ingawa pia sio wananchi wote waliofaidika nayo.
- Sasa does this expalins kwa nini Tanzania tulishindwa? Kumbe tulikua tunaiga ideology ambayo ilikuwa doomed kabla hata hatujai-copy?
Ahsante.
William.