Como estas leo namaliza battle kat ya united tanzania na kenya. Kuhusu economics and infrastructure development

We nawe mshamba tu hapo Brazil (Latin America) pako tu kama Africa ukienda France utasemaje?

[HASHTAG]#Afrikan1st[/HASHTAG]
 
ikija kwa mambo kama haya, wabongo na wakenya tunaungana tumalize ukoloni wa kifikra...Home Is Best...East Africa is our home...mambo ya sijui Brazil anzisha battle huko huko Brazil unakoishi utuache...
Wahenga walisema ndugu wawili wakigombana chukua jembe ukalime. Wakati wa kuvuna watakuwa wameshapatana.
 
Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Ati Belo Horizonte haijulikani Brazil? Dude, you kidding with us or what. That's the 3rd largest city by metro and is the capital of the 2nd most populous state!

So if you compare the 3rd largest city by metro of an upper middle income country with 210million ppl and was established in 1815 with that of countries with ¼ the population and were formed in 1960, what did you expect?
 
Nchi zote hapo ni maskini no matter what GDP differrence is, izo nchi na miji kama Nairobi na mwanza hapa brazil ni miji midogo sana inafanana na miji kama campinas , Belo horizontal ambayo hapa brazil haijulikani kabisa. So achen battle za kijinga
Wasi wasi wangu wewe haupo na haujafika brazil,yan kwa ugumu wa maisha ya brazil usingekuja hapa na kujitutumua!
 
nimefurahi sana kuona wakenya na watz mmeungana kunyorosha hii bogus iliyoko huko brazil. jinga kabisa hii.

i thought trump was wrong when he compared some of our fellows with ''shitshole''. this motherf*cker fits well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…