Comoro: Balozi Said Othman Yakubu amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Afrika Kusini

Comoro: Balozi Said Othman Yakubu amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Afrika Kusini

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Afrika Kusini nchini Comoro Bi. Nichola Sabelo alipotembelea Ofisi za Ubalozi, Moroni tarehe 03 Julai, 2024.

Tanzania na Afrika Kusini ni nchi marafiki wenye historia ya muda mrefu tangu katika zama za kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika mpaka sasa tukiwa wanachama wa SADC.

IMG-20240703-WA0188.jpg
IMG-20240703-WA0187.jpg
IMG-20240703-WA0186.jpg
IMG-20240703-WA0189.jpg
 
Tanzania na Afrika Kusini ni nchi marafiki wenye historia ya muda mrefu tangu katika zama za kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika mpaka sasa tukiwa wanachama wa SADC.
Mbona kuna watanzania wameuawa SA hakutoa tamko aache unafiki aseme tu alienda kwa mambo yao binafsi siyo kuzuga ati urafiki aa Tz na SA
 
Back
Top Bottom