Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Tanzania nayo chaliiAsee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k
View attachment 1734522
Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama.
Tanzania tunafeli wapi?
Ina maana bado sisi ni wanyonge mpaka kwenye mpira kushinda Comoro?
Aibu sanaTanzania nayo chalii
Huna hoja. Nonsense!Asee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k
View attachment 1734522
Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama.
Tanzania tunafeli wapi?
Ina maana bado sisi ni wanyonge mpaka kwenye mpira kushinda Comoro?
Wewe unafatilia mpira?Huna hoja. Nonsense!
Hata mm naona,hata msimu uliopita ilibak kidogo tu wafuzuMifumo ya nch yetu nayo n shida ukiangalia vzur hao vjana wengi wanaish France na wanaile kitu URAIA PACHA inawasaidia
Umefika wakat Sasa tuache mambo ya uraia mmoja tubadilike