Company name clearance - Brela Tanzania

SmithG

Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
67
Reaction score
2
Nawezaje kuhakikisha kupitia mtandao kama jina la kampuni ninayotaka kuisajili halijasajiliwa bado na Brela?
 
Ingia kwenye mtandao wa brela,kwenye kipengele cha bussines name registration ambacho kiko ndani ya services utapata link ya kusearch hilo jina lako la biashara na utapata jibu.
 
siyo kuangalia kama halijatumika tu, halitakiwi hata kufanana hasa herufi/ meneno ya kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…