Company Name Vs Business name

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
259
Ndugu habari ya asubuhi,

naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye system za Brela kwa ajili ya name clearance (same same as the one i registered under business name, not company name) nimeambiwa name exist. sijajua kama lile jina la biashara limekuwa na mchango so that i can decide upgrade business name kuwa kampuni.

majina yako hivi

XYXY Shopping Center (business name)

XYXY Investment Tanzania Ltd (prospective company name)

thanks
 
kufa kufaana, nisaidie mkuu, ulighalimika sh ngap kusajir business name online?
 
Name clearance inafanyika ili kujua kama unaweza kutumia hilo jina, ukiona "name exist" maana yake huwezi kulitumia kwakuwa linamilikiwa au limehodhiwa kwa muda
 
Chakufanya, rekebisha, au chagua jina lingine
 
Mkuu hakuna haja ya kubadilisha jina kama umeamua kufanya iwe kampuni kamili
Kuna kampuni niliifanyia kazi hiyo ya mwanzo ilikuwa business name baadae akafanya kuwa kampuni. Hii ilikuwa limited company
Kama wahitaji msaada kitaalamu nicheki no 0755411455 Business consultant
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…