Company provider for loney

Company provider for loney

TERNe

Member
Joined
Sep 22, 2023
Posts
89
Reaction score
98
Baada ya kugundua kuna watu wana uwezo lakin wako loneliness,stressed,wanahitaji kuwa na mtu wakuwapa company,kuongea nao, kukaanao,kutoka nao(outings) nimeamua kujitoa kuprovide hiyo service kwa watu wanao hitaji

Services cost zangu zina tegemea na nitakuwa na wewe kwa mda gani.

Nia yangu kuanzisha hii huduma ninatafuta namna ya make positive impact kwenye maisha ya watu waopitia wakati/hali niliziweka hapo juu.

Kunihusu:
Gender-Male
Age-25
Location:flexible
Personality:Charming and good listener

Kwa maelezo zaidi ya huduma,
Call or WhatsApp:255694934864

NB:Kwa heshima zote kama mada husika hapo juu hii siyo huduma ya kuuza au kununua mwili.
 
Back
Top Bottom