Company wakuu

Company wakuu

Rivamba J

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
385
Reaction score
170
Natafuta company ya wadau kadhaa tushirikiane kuanzisha mradi wa kusahau biashara za TCU humu jf mpaka 3rd round ipite na official anouncement ifike.Nimeona kujiajili sio mpaka niwe na digirii au masita........Nawasilisha
 
kama masita huna

matano! Manne! Matatu!mambili na mamoja unayo?
 
Post zinaweza kutoka hata kama deadline ya hao wa 3rd round haijaishaa! So keep waitng and see wat next
 
kama masita huna

matano! Manne! Matatu!mambili na mamoja unayo?[/QU Kibongo ni hadi uwe na masita na zaidi ndo ramani zisome gud ka nawe huna basi endelea kuungaunga 2,cjapata masita bt chini ya hapo ninazo
 
Tcu,kwa sasa wameshamaliza,kwa wale ambao awana matatizo,namaanisha first round ilipita vizuri,second pia vizuri,wasubili tu muda sio mrefu mambo yatakuwa tayari.
 
Back
Top Bottom