Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Company ya Kenya iliyonunua korosho za Tanzania na kwenda kuzitafutia soko nchi za Asia [hazifanyiwi processing Kenya] imefanikiwa kununua tani laki moja kwa billion 418 huku serikali ya Tanzania ikizinunia korosho hizo kwa billion 330 kwa kutumia watumishi na rasilimali za umma.
Hivyo kufanya serikali kuweka kibindoni zaidi ya billion 88 ndani ya miezi mitatu ambayo pesa hiyo inatosha kabisa kujenga kiwanda kikubwa chenye uwezo wa kuprocess tonnes zaidi ya laki 3.
Bilioni 88 ni pesa nyingi sana iliyopatikana ndani ya Muda Mfupi hasa ukizingatia ni pesa kutoka Bank ya Kilimo Tanzania ambapo hata wamgeikopesha kwa wakulima wasingeweza kupata hiyo faida.
Ikumbukwe bado serikali ina hifadhi ya zaidi ya tani laki 3 kwenye maghala na kwa wakulima hivyo, serikali ikifanikiwa kuziuza zote kwa bei hii, itaweza kukusanya faida ya zaidi ya billion 300
this HTML class. Value is Twitter. Ce qu'il se passe.