Company ya Kenya yaipa serikali ya Tanzania faida ya zaidi ya billion 88

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Company ya Kenya iliyonunua korosho za Tanzania na kwenda kuzitafutia soko nchi za Asia [hazifanyiwi processing Kenya] imefanikiwa kununua tani laki moja kwa billion 418 huku serikali ya Tanzania ikizinunia korosho hizo kwa billion 330 kwa kutumia watumishi na rasilimali za umma.

Hivyo kufanya serikali kuweka kibindoni zaidi ya billion 88 ndani ya miezi mitatu ambayo pesa hiyo inatosha kabisa kujenga kiwanda kikubwa chenye uwezo wa kuprocess tonnes zaidi ya laki 3.

Bilioni 88 ni pesa nyingi sana iliyopatikana ndani ya Muda Mfupi hasa ukizingatia ni pesa kutoka Bank ya Kilimo Tanzania ambapo hata wamgeikopesha kwa wakulima wasingeweza kupata hiyo faida.

Ikumbukwe bado serikali ina hifadhi ya zaidi ya tani laki 3 kwenye maghala na kwa wakulima hivyo, serikali ikifanikiwa kuziuza zote kwa bei hii, itaweza kukusanya faida ya zaidi ya billion 300

this HTML class. Value is Twitter. Ce qu'il se passe.
 
Tunajua hilo deal ni la Rostam,kwa nini mkuu alikataa wateja wachina walioletwa na Waziri Mkuu?
 
Tuombee hiko kiwanda kijengwe ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faida hupatikana baada ya kutoa gharama.. Nashangaa ww mzee baba umeweka faida kwa kutoa bei waliyonunulia.. Hujaweka gharama za mafuta ya yale malori, per diem za masoja, misafara ya mawaziri, gharama za kupandisha na kushusha.. Embu fanya ukokotozi vzuri then uje
 
Unajua associated costs Serikali iliingia kuhamisha korosho? Poor you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wateja wa waziri mkuu kuna wenye offers za 4,180 kweli? Tena wenye uwezo wa kuchukua tani 100k? Sababu wengi maximum quantity zao zilikua 30k
Wateja wa china walitaka tani laki 2 pia ukumbuke serikali ilipiga marufuku kuuza korosho ghafi.Ukishaona neno Power katika jina ujue Rostam huyo tena si alishahamishia biashara zake huko.Hiyo pesa ya uchaguzi ccm
 
Tumia akili ndogo tu wanajeshi wana mishahara yao, magari ni ya serikali, hizo costs nyingine na posho si zaidi ya billion 3
Unazijua perdiem? Unafaham malori mangap yalipinduka
 
Wateja wa china walitaka tani laki 2 pia ukumbuke serikali ilipiga marufuku kuuza korosho ghafi.Ukishaona neno Power katika jina ujue Rostam huyo tena si alishahamishia biashara zake huko.Hiyo pesa ya uchaguzi ccm
Wachina walikua wanatoa 3000,waliokua na offer kubwa ni 3500 na walikua wanataka tani 20,000
 
Umesahau posho za wajeda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah jamani mgari hayana gharama? Ghala mbona tumefika huko
 
Hiyo iwe kazi ya kudumu ya bank ya kilimo, anayebisha aandamane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…