Company ya Kenya yaipa serikali ya Tanzania faida ya zaidi ya billion 88

wewe unajuaje hiyo ni faida??je unajua kosti zote za mpaka korosho inakaa gharani??
 
Tumia akili ndogo tu wanajeshi wana mishahara yao, magari ni ya serikali, hizo costs nyingine na posho si zaidi ya billion 3
Magari ya serikali hayawekwi mafuta, no wonder ile kampuni ni ya mfukoni
 
Fanya uchunguzi wa haraka utapata kampuni yenyewe hamna kenya. Ni jina limesajiriwa na offisi ya mkubwa wa Sheria na kutoa ofisi zao eti zipo mjini thika. Wanahabari hapa kenya walilikosa nyumba Lenyewe mjini thika. Kwa ufupi ni utapeli. Matapeli hawa wanawenzao wamilika wa dili ndani ya Tz.hawa wawili hawanunui korosho zozote!!. Wanakula commission ya kushiriki utapeli tu!
 
Kando na kuwa hamna kampuni ya kikenya inanunua korosho tz, mbali mtapeli wa Tanzania kuungana na kampuni hewa toka kenya, kwani processing korosho ni rocket science. Kenya makampuni yanayo tengeza korosho kuuza soko la ndani na nje sio moja wala mbili. Habari za vijieweni Hadidhia Wenzako. Kirosho zafungwa hadi na vijana wanaozungusha mjini!! Kwani kirosho Tanzania ni zao kama barley itajengewa kiwanda kama mvinyo!!!
 
Pia atueleze kama wamelipa export levy nje ta hiyo bei na si hivyo ajumlishe kwnye gharama tani moja US$160.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kawaida wanunuzi wa korosho wanalipa kodi mbalimbali export levy US $160@ton,ushuru wa amcos tsh 60@kg ambazo zimefanya kazi ya kukusanya toka kwa wakulima,ushuru wa vyama vikuu tsh 30@kg.ushuru wa hamashauri mbalimbali hapa kwetu tsh 60@kg.halmashauri na hivi vyama viko hoi.maeneo yanayolima korosho halmashuri zinategemea tozo za korosho kwa zaidi ya 80 kujiendesha .
Serikali inamlipa nani kodi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…