Comparative advantage!

safariwafungo

Senior Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
116
Reaction score
51
Ni dhahiri mvua zina nyesha na kwakuwa mwenyezi mungu katujalia aridhi yenye rutuba ktk ukanda huu wa EAC bila shaka yatupasa kutumia fursa hii kwa umakini sana, Je ni kwa namna gani tunaitumia hii karama kutoka kwa mwenyezi mungu au tunasubiri wakulima wakilima kidogo then tunawakataza wasiuze bidhaa zao kwenye shirikisho la Afrika Mashariki, ni dhahiri yatupasa kutafuta majibu ya je tunaitumieaje fursa ya kuwekeza ktk kilimo ili tunufaike ktk umoja huu wa EAC?
 
sidhani kama utapata majibu kwa swali hili, badilisha namna ya kuuliza maybe. good luck lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…