ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 19, 2010 #1 DAR ES SALAAM Moshi Arusha MWANZA DODOMA Hii ni minara ambayo ipo katika baadhi ya miji/majiji maarufu ya Tanzania..ni alama ya kuonyesha pia umakini, usafi na na ubunifu wa watendaji katika Jiji husika.
DAR ES SALAAM Moshi Arusha MWANZA DODOMA Hii ni minara ambayo ipo katika baadhi ya miji/majiji maarufu ya Tanzania..ni alama ya kuonyesha pia umakini, usafi na na ubunifu wa watendaji katika Jiji husika.
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 741 May 19, 2010 #2 Arusha ndo kiboko yao. mwenye ile ya Dodoma pale kwenye mnara wa nyerere aweke basi.
mpuuzi Member Joined May 29, 2010 Posts 99 Reaction score 17 May 29, 2010 #3 Mbona ya Singida haipo??
RayB JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 2,751 Reaction score 200 May 29, 2010 #4 Mpuuzi hilo jina na Avatar mimi hoi karibu JF