Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Aisee! Umetoka kwa cholera ukaenda kwa HIV? Kuishiwa nako 😥Hahahahaha, Kenya hoyeee.
Upo katika chumba cha mtihani eti unaulizia vitabu, jibu hapa hadharani watu wote waone. Eti brain cancer inasababishwa na parasite (Toxoplasmosis), tangu lini cancer ya ubongo imeanza kuwa infestation disease hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Hili swali la ARVs, ninakuruhusu tumia vitabu vyako vyote na utumie Google lakini huwezi kujibu, ndio sababu unapiga chenga. Hili swali ukijibu ndio nitajua kweli Kenya elimu yenu IPO vizuri, heheeeeeeeeeeeee
Usitoroke watu wanafuatilia kwa lakini huu mjadala WETU.
Toxoplasmosis ndo parasite gani wewe? Unanipinga na hakuna unachojua. There are two ways in which cancer arises, one is carcinogenic means and the other is spontaneous means. Because you asked me about the agent that causes brain cancer, which falls under carcinogenic means, then ni Toxoplasma gondii. Hungeongeza the word agent kwa swali lako ningekuambia ni spontaneous. It's the parasite that manipulates cells proliferation and apoptosis by injecting its protein that alters cell micro RNA.Hahahahaha, Kenya hoyeee.
Upo katika chumba cha mtihani eti unaulizia vitabu, jibu hapa hadharani watu wote waone. Eti brain cancer inasababishwa na parasite (Toxoplasmosis), tangu lini cancer ya ubongo imeanza kuwa infestation disease hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Hili swali la ARVs, ninakuruhusu tumia vitabu vyako vyote na utumie Google lakini huwezi kujibu, ndio sababu unapiga chenga. Hili swali ukijibu ndio nitajua kweli Kenya elimu yenu IPO vizuri, heheeeeeeeeeeeee
Usitoroke watu wanafuatilia kwa lakini huu mjadala WETU.
Cholera imemshinda huyo Nyang'au. Nimemuuliza pathogenesis anaanza kuniletea how cholera is transmitted, nilitaka kujua pathogenesis ili nimuulize types of electrolytes zinazopote wakati wa vomiting and diarrhea, then ningemuuliza types of infusions used to treat cholera patients. Ameshindwa kujibu ananiletea habari ya vector, hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.Aisee! Umetoka kwa cholera ukaenda kwa HIV? Kuishiwa nako [emoji26]
pumba!!Hapa ndio usipime, halafu madaktari wao wachache ukiangalia uwiano wa madaktari kwa idadi ya Watanzania, madaktari wao wanasota mtaani hadi kuna kipindi wangeajiriwa Kenya sema siasa ziliingilia kati.
Jameni umaskini hutesa.
Hata siku moja Toxoplasma gondii hajawahi kuwa carcinogenic, wala hasababishi brain cancer, badala yake anasababisha brain tumor which is purely benign tumor.Toxoplasmosis ndo parasite gani wewe? Unanipinga na hakuna unachojua. There are two ways in which cancer arises, one is carcinogenic means and the other is spontaneous means. Because you asked me about the agent that causes brain cancer, which falls under carcinogenic means, then ni Toxoplasma gondii. Hungeongeza the word agent kwa swali lako ningekuambia ni spontaneous. It's the parasite that manipulates cells proliferation and apoptosis by injecting its protein that alters cell micro RNA.
Naomba tofauti kati ya RNA na DNA,
You don't know what you are talking about. It's the Toxoplasma's infection that makes brain cell proliferation. It's this uncontrollable proliferation that brings about both benign and malignant tumor. Malignant tumor is the one that's is responsible cancer infection in the brain.Hata siku moja Toxoplasma gondii hajawahi kuwa carcinogenic, wala hasababishi brain cancer, badala yake anasababisha brain tumor which is purely benign tumor.
Toxoplasma akifika katika brain, kamwe hashughuliki na brain cells, anachofanya ni kutumia damu na nutrients kujilishe ili aweze kukua na kuwa mkubwa, actually Toxoplasma gondii is the Ginger infestation of the brain.
Toxoplasma in the brain is well capsulated like ginger in your toe and finger, symptoms of Toxoplasmosis are those of increased intercranial pressure only.
Never in the Earth Toxoplasma gondii hajawahi kuwa carcinogenic, kama una ushahidi tuwekee watu wote waone hapa hadharani.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha
DNA double stranded RNA single stranded.Naomba tofauti kati ya RNA na DNA,
RNA= Ribonucleic Acid
DNA = Deoxyribonucleic Acid
Tofauti kati ya hizo mbili ni kitu gani?
Please give us any article or link which shows that Toxoplasma infestation can cause cancer. Ukinipa huu ushahidi nitakusamehe hata lile swali la ARVs.You don't know what you are talking about. It's the Toxoplasma's infection that makes brain cell proliferation. It's this uncontrollable proliferation that brings about both benign and malignant tumor. Malignant tumor is the one that's is responsible cancer infection in the brain.
That is structural difference, please be more professional katika kujibu maswali, kwa nini unatumia nguvu kubwa kwa basic question?, No wonder mnatumia budget ya $1B katika ulizi kupambana na Alshabab ambao budget yao haifiki $1M.DNA double stranded RNA single stranded.
DNA has adenine-thymine base RNA has adenine - uracil base.
https://www.ncbi.nlm.nih.gov/m/pubmed/23391314/ I know you won't read it.Please give us any article or link which shows that Toxoplasma infestation can cause cancer. Ukinipa huu ushahidi nitakusamehe hata lile swali la ARVs.
I will assume that you know each and everything about HIV and ARVs. Kwa kifupi ukileta ushahidi kwamba Toxoplasma gondii anasababisha cancer, then nitaamini kwamba
1)Kenyans doctors are the best
2)Kenyan Hospitals are the best
3)KDF is the best
4)Uhuru Kenyatta is the best
5)Magufuli is the worst
6)Dar es Salaam is full of slums
7) Tanzania can't build its SGR from its own money
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Vitu nyanya kama hivi kama hujui ningekushangaa sana...
Hahahahaha, the article reads, " Possible role of Toxoplasma gondii in causing cancer".https://www.ncbi.nlm.nih.gov/m/pubmed/23391314/ I know you won't read it.
Hahahahaha, the article reads, " Possible role of Toxoplasma gondii in causing cancer".
1) This is a research which needs to go through many steps before it became hypothesis.
2) From hypothesis if approved will be a law.
3) If approved by WHO then it can be regarded as one of the cause of cancer
Kitu kinachonishangaza, hata katika hii article wanasema "Possible role", hawajasema kwamba Toxoplasmosis cause brain cancer.
Please bado tunasubiri link inayosema " Toxoplasma gondii causes brain cancer", Or Toxoplasma gondii is a carcinogenic.
Hata kama itasema kwamba Toxoplasma gondii is carcinogenic, bado huwezi kutumika kama ushahidi kwasababu haijawahi approved na WHO. Kwahiyo huu ushahidi haukubaliki.Because you have only read the abstract. That's why I said hutasoma. Soma the whole article.
Oooh, ona sasa disadvantage of using google. If you knew the genes participating in cancer formation and how they work hungepinga hiyo research. It's a research conducted by CDC so you have no reason to dispute it. They have clearly explained how T.gondii is causing cancer by inhibiting apoptosis and enhancing proliferation of brain cells.Hata kama itasema kwamba Toxoplasma gondii is carcinogenic, bado huwezi kutumika kama ushahidi kwasababu haijawahi approved na WHO. Kwahiyo huu ushahidi haukubaliki.
Acha upoyoyo wewe, kuna sheria na kanuni za kimataifa ambazo zimewekwa ili kudhibiti matumizi ya hizo research, hata kama nitakubaliana na hiyo research, lakini kama haijawa proved na WHO haiwezi kutumika katika maeneo mengine yoyote Yale zaidi ya kwenye research tu, ndio sababu hii research imewekwa katika Medical Journal, not for General public.Oooh, ona sasa disadvantage of using google. If you knew the genes participating in cancer formation and how they work hungepinga hiyo research. It's a research conducted by CDC so you have no reason to dispute it. They have clearly explained how T.gondii is causing cancer by inhibiting apoptosis and enhancing proliferation of brain cells.