Comparison. Mishahara ya madaktari Ke vs Madaktari Tanzania

Hapo tofauti ni negligible, ila swali la YoungD lina mantiki, recurrent zenu ni zaidi ya mapato, hela za ndani za kujenga reli ya matrilion zinatoka wapi.
Hivi unadhan mapato ya got ni tra pekee?
 
My education quality is thrice yours that's why you can't understand anything about cholera agent which are serotype 01 and 0139.
Haya maneno angeongea specialist sawa sio wewe microbiologists huna tofauti na layman
 
tuusan kwa "pesa zetu za ndani" na budget yenyu ina deficit kubwa mno. Vipi umeingia matusi ama sindano hadi kwa mfupa?
 
Mara ya mwisho niliona kodi zinachangia 87.1% ya mapato ya GoT, kwa hivyo hizo zingine haziwezi kukidhi matrilioni ya kujenga reli kwa pesa ya ndani.
Alafu jiulize ,mbali na sgr inayokunyima usingizi,barabara za billions of money zinajengwa sehemu mbali mbali, juzi wametoa tshs trillion 1.7 kuanza stiglers gorge,kama hyo haitoshi miradi ya maji ,kununua madawa na kujenga majengo mbalimbali ya serikali na bado kuna mishahara ambapo kila mwezi sio chini ya 660B zinatumika
 
tuusan kwa "pesa zetu za ndani" na budget yenyu ina deficit kubwa mno. Vipi umeingia matusi ama sindano hadi kwa mfupa?
Kubwa mno kivipi? Mikopo tunayoitegemea ni % ndogo tu,kumbuka misaada imepungua sana kwahyo zaidi ya 75% tunajiendesha
 
Hapa ndipo utajua Rais wetu anafanya kazi ama lah!kwa kweli kumbe watanzania ni wazalendo.wakiwa ndani ya nchi wanasema chama tawala na rais hakuna wanachofanya.Wakiwa nje wanasifia uongozi wa JPM na mazuri yanaonekana.Safi sana
 
Unajua wanaonaga just because haiwezekani kule kwao basi wanazani na huku pia haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau Tanzania huwa inapewa grands and donations annually for their projects.
 
"Cost of living" nayo ni tofauti sana kati ya mfanyakazi wa TZ na KE. Mshahara wa TZ huwezi mudu maisha KE kwa sababu ya tofauti za gharama za maisha

Refer https://www.olx.co.ke/houses-apartments-for-rent_c363
 
Hilo ni kwel,lakin misaada imepungua mno ndio maana hata mishahara imesimama huu mwaka wa nne haujaongezwa...tunaumia kimyakimya

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
So most projects you are undertaking are grands and donations. Some are funded by other nations not Tz.
 

Yote hiyo kwa pesa ya ndani, labda muwe mnauza tembo na meno ya simba kimya kimya na mambo mengine yasiyo...
 
tuusan SERIKALI YA TANZANIA YASALIMU AMRI KWA WAFADHILI ili mpate mikopo ya miradi iliyokwama...ingia jukwaa la siasa ujifahamishe na ya kwenu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…