Comparison: Yanga wanapungua ubora, simba wanaimarika

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
953
Reaction score
3,318
Ukweli usemwe

Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
 
bila nyie shaka mtabarikiwa mmoja mmoja
PAPA 1:1-5
 
Ukweli usemwe

Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
Tuliwaambia kuwa Mapinduzi cup tuliikosa lakini tulipata kitu cha thamani zaidi ya hilo kombe.
 
Ukweli usemwe

Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
Yaani hata mechi ya ligi Simba hawajacheza tayari umeshakuja na comparison. Subiri ziishe hizi mechi nne ndio uje na hiyo comparison
 
1706899068681.jpeg
 
Kwa kiwango Cha Simba wajaribu kupambania nafasi ya tatu.
Bingwa anafahamika.
 
Tatizo pale Yanga Kocha hakuna...ile nafasi Ya Kocha amewekwa Mtaalamu wa Kuuza Matikiti maji...! Shida ndo inapoanzia
 
Back
Top Bottom