Mtani wa Taifa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2023
- 953
- 3,318
ajakosea sana michezo pia ni burudani.Umekosea jukwaa Mkuu hii nenda nayo jukwaa la michezo wazungu wanasema wrong hole😁🤣
leo yayasemwa mengiUkweli usemwe
Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
bila nyie shaka mtabarikiwa mmoja mmojaUkweli usemwe
Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
Tuliwaambia kuwa Mapinduzi cup tuliikosa lakini tulipata kitu cha thamani zaidi ya hilo kombe.Ukweli usemwe
Kwa trend ya hizi timu mbili, simba wanazidi kuimarika kikosi wakati huo Yanga wanapungua ubora kila siku, Yanga iliyoanza msimu na Yanga hii ni pua na makalio.
Yaani hata mechi ya ligi Simba hawajacheza tayari umeshakuja na comparison. Subiri ziishe hizi mechi nne ndio uje na hiyo comparisonUkweli usemwe