Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
H
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua mkuu 75% tunameza 25% ndo tunaelewa alafu tunasoma ili tufaulu mitihani tu na si vinginevyoHabari wana Jf!
Sera ya sasa ya Elimu inataka mwanafunzi awe na Competence na sio Content,lakini jambo la kushangaza ni kwamba unaweza ukakuta Mwalimu wa Biolojia ndio anakua wa kwanza kuumwa kipindupindu ama mtoto(wa kike) anaefaulu somo la Biolojia kwa alama A,au B,anapewa MiMBA na dereva Teksi.SASA HII COMPETENCE NI NANI anaei-apply? Maana hata hao wanaopanga hizi sera hakuna kitu.