Habari wana Jf!
Sera ya sasa ya Elimu inataka mwanafunzi awe na Competence na sio Content,lakini jambo la kushangaza ni kwamba unaweza ukakuta Mwalimu wa Biolojia ndio anakua wa kwanza kuumwa kipindupindu ama mtoto(wa kike) anaefaulu somo la Biolojia kwa alama A,au B,anapewa MiMBA na dereva Teksi.SASA HII COMPETENCE NI NANI anaei-apply? Maana hata hao wanaopanga hizi sera hakuna kitu.