Je una gardener wako ambaye unaona kwa muda mwingi hayupo 100% occupied? Natafuta gardener wakufanya kazi kwangu siku mbili kwa wiki, na siku zingine aendelee na kazi kwa mwajiri mwingine.
Hii ni home garden ndogo inayohitaji some TLC (Tender Loving Care). Location is Dar es Salaam, Mbezi Beach area.
Niko tayari kulipa 80-85k per month (which amount to 10k a day) and breakfast and lunch will be on me.
Kama kuna mtu yuko tayari kufanya hii labour sharing na mimi tafadhali nijulishe.
Asante.