Competent teacher in English anatafuta kazi

Competent teacher in English anatafuta kazi

Kirumbi boy

Member
Joined
Dec 21, 2019
Posts
10
Reaction score
2
Kwa majina anaitwa Ombeni Elinihaki White, mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dar- es-Salaam (BAED). Anaomba ukiwa kama ndugu jamaa na rafiki popote ulipo ukiona nafasi ya kufundisha kati ya somo la English and Literature umkumbuke. Ni Mwalimu anayejiamini na mwenye bidii katika ufundishaji.

Special thanks kwako mwanajamii mpate kwa namba zifuatazo 0677638261, au 0753124353 (WhatsApp) email. elinihakiwhite@gmai.com.

Thanks a lot.
 
Yuko mkoa gani, kuna tuition centre Dar es Salaam maeneo ya kitunda-kivule nahitaji mwl
 
8 months as temporary teacher at Mkombozi sec school Hedaru- Same district
 
Fresh from college ndo amemaliza mwaka Jana but yuko poa unaweza kumpima pia kujua hicho alichonacho kama professional teacher in English language
 
Ni fresh from college lakini amepimwa katika btp na albaki kwa miezi 8 Mkombozi sec school Hedaru- Same Kilimanjaro kama mwalimu wa Fom 4
 
Back
Top Bottom